Lyrics
Wapendwa Muziki new trending song – Ona vile amefanya Mungu
The Trending couple has taken the music industry with storm
Wapendwa Muziki – Amefanya Mungu Lyrics

March 22, 2025
Amenivua vazi langu la aibu
Na moyo wangu akatibu
Sina budi ila nimusifu
(Chorus)
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu
Ni yeye yeye yeye amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu
Ni yeye yeye yeye amefanya Mungu
Ni jambo nina jambo
Ninatamani niseme
Jamani nina jambo ninatamani niseme
Umenifunika na neema yako
Tena umenifadhili mimi
Umeondoa vizuizi
Kwa mkono Baba umenibariki
Umenihurumia mimi, umenikumbuka mimi
Umeondoa vizuizi
Kwa mkono Baba umenibariki ii
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu
Ni yeye yeye yeye amefanya Mungu
Ame amenipendelea,Yesu ame amenipendelea aah
Ame amenipendelea, Yesu ame amenipendelea aah
Ninapendeza kwake nametameta
Ninapendeza kwake nametameta
Ninapendeza kwake nametameta
(Chorus)
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu
Ni yeye yeye yeye amefanya Mungu
Ninapendeza kwake nametameta
Ninapendeza kwake nametameta
Follow this link below to watch the Official Music Video