
Renowned gospel artist Joel Lwanga has graced the music scene with a powerful new Swahili worship song titled “Bila.” This soul-stirring track is a heartfelt expression of gratitude and dependence on God, reminding listeners of His unending love and grace. With its uplifting melody and meaningful lyrics, “Bila” is set to inspire and touch the hearts of many across the globe.
Lyrics
Nikitazama nilikotoka Hapa nilipo ninapokwenda Ninagundua
Ingekuwa ni nguvu zangu ningeshachoka nisingeweza
Sio kweli kwamba tu ku-hustle na kupambana ndio vimenitoa
Juhudi haizidi kudra siwezi sema babu hakujituma
Niliitwa ndugu lawama
Mfano wa waliokwama
Mtu asiye na maana wa kuchekwa kudharauliwa
Ila Mungu ana maguvu bwana Leonikipita wanaitana sa ngoja nami niwaite niwape siri ukweli ni kwamba
Bila Mungu mimi bila bila
Hamna kitu yani Zero bila
Bila Mungu mimi bila bila
Sina una ujanja yani zero bila
Mmmh yani kama Meli isiyo na nahodha
Kama bunge lisilo na hoja
Mi ni debe tupu bila ya Mola
Msidanganyike nje mnanvyoniona
Sina mzizi wala Mlozi
Nina mtetezi tena yu Hai
Ye ndo siri ya mi kunawiri
Bila Ye mi chali na sifurukiti
Niliitwa ndugu lawama
Mfano wa waliokwama
Mtu asiye na maana wa kuchekwa kudharauliwa
Ila Mungu ana maguvu bwana
Leo nikipita wanaitana sa ngoja nami niwaite niwape siri ukweli ni kwamba
Bila Mungu mimi bila bila
Hamna kitu yani Zero bila
Bila Mungu mimi bila bila
Sina una ujanja yani zero bila
Lyrics Video
Joel Lwanga Official Video
- Written by: Joel Lwaga
- Album: Bila Bila
- Released: 2025