
Kenyan Benga and Ohangla sensation Prince Indah has once again shown his versatility by teaming up with Tanzania’s soulful diva Phina in their latest release titled “Twanga Pepeta”. The track is a cross-cultural musical fusion, blending the energetic rhythms of Luo music with the melodious tones of Swahili from Tanzania.
The vibrant track, whose lyrics have been translated to kiswahili, delivers a lively, danceable beat rooted in East African traditions, offering both nostalgic and modern vibes. The collaboration marks a notable moment in East African music unity, highlighting the deep cultural ties between Kenya and Tanzania.
“Twanga Pepeta” features Prince Indah’s signature storytelling in Luo paired beautifully with Phina’s Swahili vocals, creating a rich, bilingual sonic experience. The phrase “Twanga Pepeta” is a Swahili expression meaning “keep dancing” or “swing your hips,” capturing the essence of joy and celebration.
The video showcases vibrant East African fashion, scenic visuals, and traditional dance moves, all reinforcing the song’s cultural pride and entertainment value. Fans from both Kenya and Tanzania have flooded social media with praise, calling the collaboration “a masterpiece” and “a true representation of East African talent.”
This song comes at a time when cross-border collaborations are gaining popularity, strengthening the region’s identity on the African music map. Prince Indah, known for hits like “Mama Watoto” and “Osiepe,” continues to elevate Luo music on a global scale, while Phina brings her Afro-fusion edge to the table, fresh off her recent chart-topping performances.
Lyrics Translated to Kiswahili
(Chorus)
Hakuna matata, hiyo asali ndio nataka
Nimetafuta nikapata, nataka kukufata
Hakuna matata, hiyo asali ndio nataka
Nimetafuta nikapata, nataka kukufata
(Verse 1)
Usiku unpolala
Mama nakuona kama ndege
Kijana kutoka ahero, napaa angani
Kukiri penzi letu, mrembo mweupe
Msichana wa mtu, safari uliyoipanga
Yanijaza furaha, mtoto mrembo,
Nitakuimbia wimbo gani
Mama eeeh
Namwimbia kitindamimba, wa ahero
Namwimbia yeye, oooooh
Nitakwimbia wimbo ukija
Hata iwe ni kiswahili, sherry sherry wangu
Wa thamani, njoo nikupeleke kisumu
Utakula samaki, ukija kisumu
(chorus)
Hakuna matata, hiyo asali ndio nataka
Nimetafuta nikapata, nataka kukufata
Hakuna matata, hiyo asali ndio nataka
Nimetafuta nikapata, nataka kukufata
Basi nialike chumbani, mama, (leta leta)
Hebu legeza kiuno mama, (twanga napepeta)
Basi nialike chumbani, mama, (leta leta)
Basi legeza kiuno mama, (twanga napepeta)
(Instrumentals)
(Verse 2)
Ujue maisha yangu, ni bure bila wewe
Baba we, mapenzi yako
Yatanifanya nichizi
Mmmmh,
Ukweli nakupenda
Mtoto wa mtu nakupenda, mama
Mtoto wa mtu nakupenda, mama
Hata tukila kwa vumbi
Penzi letu tamu mpaka moro
Oooh mpenzi, naweza fanya uwe
Sherry wangu
Utoke dar, uje kisumu mama
Najua utapenda, siaya kwa baba
Kwa kina obama
(Chorus)
Hakuna matata, hiyo asali ndio nataka
Nimetafuta nikapata, nataka kukufata
Hakuna matata, hiyo asali ndio nataka
Nimetafuta nikapata, nataka kukufata
Basi nialike chumbani, mama, (leta leta)
Hebu legeza kiuno mama, (twanga napepeta)
Basi nialike chumbani, mama, (leta leta)
Basi legeza kiuno mama, (twanga napepeta)